Psalms 48:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Wakorahi) Mwenyezi-Mungu, ni mkuu; astahili kusifiwa sana katika mji wake na mlima wake mtakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye aliye mkuu, Na mwenye kusifiwa sana. Katika mji wa Mungu wetu, Katika mlima wake mtakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu, ni mkuu; astahili kusifiwa sana katika mji wake na mlima wake mtakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Wana Wa Kora) BWANA ni mkuu na anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni mkuu, anayestahili kusifiwa sana, katika mji wa Mungu wetu, mlima wake mtakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana ndiye aliye mkuu, Na mwenye kusifiwa sana. Katika mji wa Mungu wetu, Katika mlima wake mtakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu, ni mkuu; astahili kusifiwa sana katika mji wake na mlima wake mtakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mkuu na mtukufu sana, mjini mwa Mungu wetu umo mlima wenye Patakatifu pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana ndiye aliye mkuu, Na mwenye kusifiwa sana. Katika mji wa Mungu wetu, Katika mlima wake mtakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Wakora.