Psalms 48:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jina lako lasifika kila mahali, sifa zako zaenea popote duniani. Kwa mkono wako umetenda kwa haki;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, kama jina lako lilivyo, sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia, mkono wako wa kuume umejazwa na haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama lilivyo jina lako, Ee Mungu, Ndivyo na sifa yako hata miisho ya dunia. Mkono wako wa kuume umejaa haki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jina lako lasifika kila mahali, sifa zako zaenea popote duniani. Kwa mkono wako umetenda kwa haki;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, kama jina lako lilivyo, sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia, Mkono wako wa kuume umejazwa na haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, kama jina lako lilivyo, sifa zako zinafika hadi miisho ya dunia, mkono wako wa kuume umejazwa na haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama lilivyo jina lako, Ee Mungu, Ndivyo na sifa yako hadi miisho ya dunia. Mkono wako wa kuume umejaa haki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jina lako lasifika kila mahali, sifa zako zaenea popote duniani. Kwa mkono wako umetenda kwa haki;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama Jina lako, Mungu, lilivyo kuu, vivyo hivyo nayo matukuzo yako yamefika mapeoni kwa nchi, mkono wako wa kuume umejaa wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama lilivyo jina lako, Ee Mungu, Ndivyo na sifa yako hata miisho ya dunia. Mkono wako wa kuume umejaa haki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, tunakumbuka wema wako tunapokuwa katika hekalu lako.