Psalms 48:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watu wa Siyoni na wafurahi! Watu wa Yuda na washangilie, kwa sababu ya maamuzi yako ya haki!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mlima Sayuni unashangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ufurahi mlima Sayuni. Binti za Yuda na washangilie Kwa sababu ya hukumu zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watu wa Siyoni na wafurahi! Watu wa Yuda na washangilie, kwa sababu ya maamuzi yako ya haki!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mlima Sayuni unashangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mlima Sayuni unashangilia, vijiji vya Yuda vinafurahi kwa sababu ya hukumu zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ufurahi mlima Sayuni. Binti za Yuda na washangilie Kwa sababu ya hukumu zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watu wa Siyoni na wafurahi! Watu wa Yuda na washangilie, kwa sababu ya maamuzi yako ya haki!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mlima wa Sioni huufurahia, wana wa kike wa Yuda huyapigia vigelegele maamuzi yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ufurahi mlima Sayuni. Binti za Yuda na washangilie Kwa sababu ya hukumu zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jina lako linasifiwa kila pahali, sifa zako zinaenea fasi zote katika dunia. Kwa mukono wako umetenda kwa haki.