Psalms 48:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tembeeni huko Siyoni mkauzunguke, mkaihesabu minara yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tembeeni katika Sayuni, uzungukeni mji, hesabuni minara yake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tembeeni katika Sayuni, Uzungukeni mji, Ihesabuni minara yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tembeeni huko Siyoni mkauzunguke, mkaihesabu minara yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tembeeni katika Sayuni, uzungukeni mji, hesabuni minara yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tembeeni katika Sayuni, uzungukeni mji, hesabuni minara yake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tembeeni katika Sayuni, Uzungukeni mji wote, Ihesabuni minara yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tembeeni huko Siyoni mkauzunguke, mkaihesabu minara yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uzungukeni mji wa Sioni na kuuzingia wote, mpate kuihesabu minara yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tembeeni katika Sayuni, Uzungukeni mji, Ihesabuni minara yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Sayuni wafurahi! Watu wa Yuda washangilie, kwa sababu ya hukumu yako ya haki!