Psalms 48:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zitazameni kuta zake na kuchunguza ngome zake; mpate kuvisimulia vizazi vijavyo, kwamba:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
yatafakarini vyema maboma yake, angalieni ngome zake, ili mpate kusimulia habari zake kwa kizazi kijacho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tieni moyoni boma zake, Yafikirini majumba yake, Mpate kuwaambia kizazi kitakachokuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zitazameni kuta zake na kuchunguza ngome zake; mpate kuvisimulia vizazi vijavyo, kwamba:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yatafakarini vyema maboma yake, angalieni ngome zake, ili mpate kusimulia habari zake kwa kizazi kijacho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
yatafakarini vyema maboma yake, angalieni ngome zake, ili mpate kusimulia habari zake kwa kizazi kijacho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tieni moyoni boma zake, Yafikirini majumba yake, Mpate kuwaambia kizazi kitakachokuja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zitazameni kuta zake na kuchunguza ngome zake; mpate kuvisimulia vizazi vijavyo, kwamba:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Liangalieni boma lake, msilisahau mioyoni mwenu! Napo penye majumba yake piteni po pote, kusudi mvisimulie kizazi kijao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tieni moyoni boma zake, Yafikirini majumba yake, Mpate kuwaambia kizazi kitakachokuja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutembee huko Sayuni, muuzunguke, muihesabu minara yake.