Psalms 48:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mlima Siyoni huko kaskazini, wapendeza kwa urefu; mji wa Mfalme mkuu ni furaha ya ulimwengu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni mzuri katika kuinuka juu kwake, furaha ya dunia yote. Kama vilele vya juu vya Safoni ni Mlima Sayuni, mji wa Mfalme Mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuinuka kwake ni mzuri sana, Ni furaha ya dunia yote. Mlima Sayuni pande za kaskazini, Mji wa Mfalme mkuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mlima Siyoni huko kaskazini, wapendeza kwa urefu; mji wa Mfalme mkuu ni furaha ya ulimwengu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni mzuri katika kuinuka kwake juu sana, furaha ya dunia yote. Kama vilele vya juu sana vya Safoni ni Mlima Sayuni, mji wa Mfalme Mkuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni mzuri katika kuinuka kwake juu sana, furaha ya dunia yote. Kama vilele vya juu sana vya Safoni ni Mlima Sayuni, mji wa Mfalme Mkuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuinuka kwake ni mzuri sana, Ni furaha ya dunia yote. Mlima Sayuni, kule upande wa kaskazini, Mji wa Mfalme mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mlima Siyoni huko kaskazini, wapendeza kwa urefu; mji wa Mfalme mkuu ni furaha ya ulimwengu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni vizuri kuvitazama, unavyoinuka huo mlima wa Sioni, nchi yote nzima huufurahia; upande wa kaskazini uko mji wa mfalme mkuu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuinuka kwake ni mzuri sana, Ni furaha ya dunia yote. Mlima Sayuni pande za kaskazini, Mji wa Mfalme mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe, ni mukubwa; anastahili kusifiwa sana katika muji wake, ndio mulima wake mutakatifu.