Psalms 48:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu anazilinda ngome zake; yeye amejionesha kuwa ngome ya usalama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu yuko katika ngome zake; amejionesha mwenyewe kuwa ngome yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu katika majumba yake Amejijulisha kuwa ngome.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu anazilinda ngome zake; yeye amejionesha kuwa ngome ya usalama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu yuko katika ngome zake; amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu yuko katika ngome zake; amejionyesha mwenyewe kuwa ngome yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu katika majumba yake Amejijulisha kuwa ngome.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu anazilinda ngome zake; yeye amejionesha kuwa ngome ya usalama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika majumba yake mazuri Mungu amejulikana, ya kuwa ni ngome yenye nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu katika majumba yake Amejijulisha kuwa ngome.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sayuni, mulima wa Mungu, unapendeza kwa urefu; muji wa Mufalme mukubwa ni furaha ya ulimwengu.