Psalms 48:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafalme walikusanyika, wakaenda pamoja kushambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafalme walipounganisha nguvu, waliposonga mbele pamoja,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana, tazama, wafalme walikusanyika; Walipita wote pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafalme walikusanyika, wakaenda pamoja kushambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wafalme walipounganisha nguvu, waliposonga mbele pamoja,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wafalme walipounganisha nguvu, waliposonga mbele pamoja,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana, tazama, wafalme walikusanyika; Walikuja wote pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafalme walikusanyika, wakaenda pamoja kushambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tukivitazama, ni hivyo: wafalme walikula njama, wote pamoja wakaondoka kwao kupiga vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana, tazama, wafalme walikusanyika; Walipita wote pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu analinda pango zake za kukimbilia; yeye anajulikana kuwa upango wake.