Psalms 48:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini walipouona mji wa Siyoni, wakashangaa; wakashikwa na hofu, wakatimua mbio.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
walimwona, wakashangaa, wakakimbia kwa hofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waliona, mara wakashangaa; Wakafadhaika na kukimbia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini walipouona mji wa Siyoni, wakashangaa; wakashikwa na hofu, wakatimua mbio.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Danwalimwona nao wakashangaa, wakakimbia kwa hofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
walimwona nao wakashangaa, wakakimbia kwa hofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara Walipouona, wakashtuka; Wakafadhaika na kukimbia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini walipouona mji wa Siyoni, wakashangaa; wakashikwa na hofu, wakatimua mbio.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo walipouona, mara wakastuka, wakaingiwa na woga, wakakimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waliona, mara wakashangaa; Wakafadhaika na kukimbia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafalme walikusanyika, wakaenda pamoja kushambulia.