Psalms 48:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hofu kuu iliwashika, wakasikia uchungu kama mama anayejifungua,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutetemeka kuliwashika huko, maumivu kama ya mwanamke mwenye uchungu wa kuzaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Papo hapo tetemeko liliwashika, Utungu kama wa mwanamke azaaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hofu kuu iliwashika, wakasikia uchungu kama mama anayejifungua,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutetemeka kuliwashika huko, maumivu kama ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutetemeka kuliwashika huko, maumivu kama ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Papo hapo tetemeko liliwashika, Uchungu kama wa mwanamke azaaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hofu kuu iliwashika, wakasikia uchungu kama mama anayejifungua,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo utetemeko ukawashika, ni uchungu kama wa mwanamke atakaye kuzaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Papo hapo tetemeko liliwashika, Utungu kama wa mwanamke azaaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini walipouona Sayuni, wakashangaa; wakashikwa na hofu na kukimbia.