Psalms 48:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kama waliokumbwa na kimbunga cha mashariki ambacho huzivunjavunja meli za Tarshishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliwaangamiza kama meli za Tarshishi zilizovunjwa na upepo wa mashariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa upepo wa mashariki Wavunja jahazi za Tarshishi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kama waliokumbwa na kimbunga cha mashariki ambacho huzivunjavunja meli za Tarshishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliwaangamiza kama meli za Tarshishi zilizovunjwa na upepo wa mashariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliwaangamiza kama meli za Tarshishi zilizovunjwa na upepo wa mashariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama upepo wa mashariki Unapovunja jahazi za Tarshishi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kama waliokumbwa na kimbunga cha mashariki ambacho huzivunjavunja meli za Tarshishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa nguvu ya upepo wa kimbunga ukazivunja nazo merikebu zao za kwenda Tarsisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa upepo wa mashariki Wavunja jahazi za Tarshishi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hofu kubwa iliwashika, wakasikia uchungu kama mama anayezaa,