Psalms 48:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yote tuliyosikia tumejionea wenyewe katika mji wa Mwenyezi-Mungu wa majeshi, naam, katika mji wa Mungu wetu; Mungu atauimarisha milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama tulivyokuwa tumesikia, ndivyo tulivyoona katika mji wa Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, katika mji wa Mungu wetu: Mungu ataufanya uwe salama milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama tulivyosikia, ndivyo tulivyoona, Katika mji wa Bwana wa majeshi. Mji wa Mungu wetu; Mungu ataufanya imara hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yote tuliyosikia tumejionea wenyewe katika mji wa Mwenyezi-Mungu wa majeshi, naam, katika mji wa Mungu wetu; Mungu atauimarisha milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama tulivyokuwa tumesikia, ndivyo tulivyoona katika mji wa BWANA Mwenye Nguvu Zote, katika mji wa Mungu wetu: Mungu ataufanya uwe salama milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama tulivyokuwa tumesikia, ndivyo tulivyoona katika mji wa bwana Mwenye Nguvu Zote, katika mji wa Mungu wetu: Mungu ataufanya uwe salama milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama tulivyosikia, ndivyo tulivyoona, Katika mji wa BWANA wa majeshi. Mji wa Mungu wetu; Mungu atauimarisha hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yote tuliyosikia tumejionea wenyewe katika mji wa Mwenyezi-Mungu wa majeshi, naam, katika mji wa Mungu wetu; Mungu atauimarisha milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama tulivyosikia, tukaviona vivyo hivyo katika mji wa Bwana Mwenye vikosi, katika mji wake Mungu wetu: Mungu ameushikiza, ukae kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama tulivyosikia, ndivyo tulivyoona, Katika mji wa BWANA wa majeshi. Mji wa Mungu wetu; Mungu ataufanya imara hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama vile wenye kurushwa na upepo mukali wa mashariki, ambao unavunjavunja mashua kubwa sana za Tarsisi.