Psalms 49:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Wakorahi) Sikieni jambo hili enyi watu wote! Tegeni sikio enyi wakazi wote wa dunia;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikieni haya, enyi mataifa yote, sikilizeni, ninyi wote mnaoishi dunia hii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikieni haya, enyi mataifa yote; Sikilizeni, ninyi nyote mnaokaa duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikieni jambo hili enyi watu wote! Tegeni sikio enyi wakazi wote wa dunia;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Wana Wa Kora) Sikieni haya, enyi mataifa yote, sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikieni haya, enyi mataifa yote, sikilizeni, ninyi wote mkaao dunia hii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikieni haya, enyi mataifa yote; Sikilizeni, ninyi nyote mnaokaa duniani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikieni jambo hili enyi watu wote! Tegeni sikio enyi wakazi wote wa dunia;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makabila yote ya watu, yasikilizeni! Nyote mkaao ulimwenguni, yategeeni masikio,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikieni haya, enyi mataifa yote; Sikilizeni, ninyi nyote mnaokaa duniani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Wakora.