Psalms 49:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye afahamu kuwa hata wenye hekima hufa, wapumbavu hali kadhalika na watu wajinga. Wote hao huwaachia wengine mali zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia na kuwaachia wengine mali yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, ataliona, hata wenye hekima hufa; Mpumbavu na mjinga hupotea pamoja, Na kuwaachia wengine mali zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye afahamu kuwa hata wenye hekima hufa, wapumbavu hali kadhalika na watu wajinga. Wote hao huwaachia wengine mali zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia na kuwaachia wengine mali zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia na kuwaachia wengine mali zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, ataliona, hata wenye hekima hufa; Mpumbavu na mjinga hupotea pamoja, Na kuwaachia wengine mali zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye afahamu kuwa hata wenye hekima hufa, wapumbavu hali kadhalika na watu wajinga. Wote hao huwaachia wengine mali zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini hana budi kuliona, maana walio werevu wa kweli hufa, wajinga nao wasiojua kitu huangamia pamoja nao, nazo mali, walizozipata, huziachia wengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, ataliona, hata wenye hekima hufa; Mpumbavu na mjinga hupotea pamoja, Na kuwaachia wengine mali zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kimwezeshe aendelee kuishi siku zote, bila kuona kaburi.