Psalms 49:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makaburi ni makao yao hata milele; ni makao yao vizazi hata vizazi, ingawa hapo awali walimiliki ardhi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makaburi yao yatabaki kuwa nyumba zao za milele, makao yao vizazi vyote; ingawa walikuwa na mashamba na kuyaita kwa majina yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makaburi ni nyumba zao hata milele, Maskani zao vizazi hata vizazi. Hao waliotaja mashamba yao Kwa majina yao wenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makaburi ni makao yao hata milele; ni makao yao vizazi hata vizazi, ingawa hapo awali walimiliki ardhi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makaburi yao yatabaki kuwa nyumba zao za milele, makao yao vizazi vyote; ingawa walikuwa na mashamba na kuyaita kwa majina yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makaburi yao yatabaki kuwa nyumba zao za milele, makao yao vizazi vyote; ingawa walikuwa na mashamba na kuyaita kwa majina yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makaburi ni nyumba zao hata milele, Maskani zao vizazi hata vizazi. Japo waliwahi kuyamiliki mashamba, Kwa majina yao wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makaburi ni makao yao hata milele; ni makao yao vizazi hata vizazi, ingawa hapo awali walimiliki ardhi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makaburi yao ni nyumba zao za kukaa kale na kale, ndivyo makao yao ya vizazi na vizazi, hata ikiwa wameita nchi nzima kwa majina yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makaburi ni nyumba zao hata milele, Maskani zao vizazi hata vizazi. Hao waliotaja mashamba yao Kwa majina yao wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inaonekana wazi kuwa hata wenye hekima wanakufa, nao wapumbafu na wajinga vilevile. Wote wanawaachia wengine mali zao.