Psalms 49:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binadamu hatadumu katika fahari yake; atakufa tu kama mnyama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mwanadamu, licha ya utajiri wake, hadumu; anafanana na mnyama aangamiaye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini mwanadamu hadumu katika heshima, Bali amefanana na wanyama wapoteao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binadamu hatadumu katika fahari yake; atakufa tu kama mnyama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mwanadamu, licha ya utajiri wake, hadumu; anafanana na mnyama aangamiaye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mwanadamu, licha ya utajiri wake, hadumu; anafanana na mnyama aangamiaye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mwanadamu hadumu katika heshima, Bali amefanana na wanyama wapoteao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binadamu hatadumu katika fahari yake; atakufa tu kama mnyama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo mtu hakai na utukufu wake, hufananishwa na nyama wanaoishilizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini mwanadamu hadumu katika heshima, Bali amefanana na wanyama wapoteao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ingawa walisema kwamba udongo ni wao, lakini ni makaburi ndiyo nyumba zao hata milele, ni makao yao vizazi hata vizazi.