Psalms 49:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hayo ndiyo yawapatao wanaojiamini kipumbavu, ndio mwisho wa wale wanaojivunia mali zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe, pia ya wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiyo ndiyo njia yao, ujinga wao, Nao walioko baada yao huyaridhia maneno yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hayo ndiyo yawapatao wanaojiamini kipumbavu, ndio mwisho wa wale wanaojivunia mali zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe, pia wa wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe, pia ya wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiyo ndiyo njia yao, ujinga wao, Nao walioko baada yao huyaridhia maneno yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hayo ndiyo yawapatao wanaojiamini kipumbavu, ndio mwisho wa wale wanaojivunia mali zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndiko, zinakokomea njia zao waliojiegemea wenyewe, tena wanafuatwa nao waliopendezwa na maneno yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiyo ndiyo njia yao, ujinga wao, Nao walioko baada yao huyaridhia maneno yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanadamu hadumu katika utajiri wake; anakufa tu kama nyama.