Psalms 49:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mungu ataniokoa na kuzimu. Atanisalimisha kutoka huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mungu atakomboa uhai wangu dhidi ya kaburi; hakika atanichukua kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali Mungu atanikomboa nafsi yangu, Atanitoa mkononi mwa kuzimu, maana atanikaribisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mungu ataniokoa na kuzimu. Atanisalimisha kutoka huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Mungu atakomboa uhai wangu na kaburi, hakika atanichukua kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Mungu atakomboa uhai wangu na kaburi, hakika atanichukua kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali Mungu atanikomboa nafsi yangu, Atanitoa mkononi mwa kuzimu, maana atanipokea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mungu ataniokoa na kuzimu. Atanisalimisha kutoka huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli Mungu ataikomboa roho yangu katika nguvu ya kuzimuni, naye atakayenipokea ndiye yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali Mungu atanikomboa nafsi yangu, Atanitoa mkononi mwa kuzimu, maana atanikaribisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaongozwa kama kondoo mpaka katika kuzimu; kifo ndiye muchungaji wao. Wanashuka moja kwa moja katika kaburi. Miili yao inaozea huko. Kuzimu inakuwa makao yao.