Psalms 49:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usihangaike ukiona mtu anatajirika, wala mali yake ikiongezeka zaidi na zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usitishwe mtu anapotajirika, fahari ya nyumba yake inapoongezeka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiogope mtu atakapopata utajiri, Na fahari ya nyumba yake itakapozidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usihangaike ukiona mtu anatajirika, wala mali yake ikiongezeka zaidi na zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usitishwe mtu anapotajirika, fahari ya nyumba yake inapoongezeka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usitishwe mtu anapotajirika, fahari ya nyumba yake inapoongezeka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiogope mtu atakapopata utajiri, Na fahari ya nyumba yake itakapoongezeka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usihangaike ukiona mtu anatajirika, wala mali yake ikiongezeka zaidi na zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akipata mali nyingi, usihangaike, ijapo, utukufu wa nyumba yake aukuze kuwa mwingi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiogope mtu atakapopata utajiri, Na fahari ya nyumba yake itakapozidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Mungu atanikomboa kutoka katika kuzimu, ataniopoa kutoka huko.