Psalms 49:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana atakapokufa hatachukua chochote, mali yake haitashuka huko chini pamoja naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, fahari yake haitashuka pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana atakapokufa hatachukua cho chote; Utukufu wake hautashuka ukimfuata.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana atakapokufa hatachukua chochote, mali yake haitashuka huko chini pamoja naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana hatachukua cho chote atakapokufa, fahari yake haitashuka pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, fahari yake haitashuka pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana atakapokufa hatachukua chochote; Utukufu wake hautashuka ukimfuata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana atakapokufa hatachukua chochote, mali yake haitashuka huko chini pamoja naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani katika hayo yote hayamo, atakayochukua atakapokufa, utukufu wake hautamfuata kwenda kuzimuni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana atakapokufa hatachukua cho chote; Utukufu wake hautashuka ukimfuata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usihangaike ukiona mutu anatajirika, wala mali yake ikiongezeka zaidi na zaidi.