Psalms 49:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ajapojikuza katika maisha haya, na kusifiwa kwa sababu ya kufanikiwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ajapojibariki nafsi yake alipokuwa hai, Na watu watakusifu ukijitendea mema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ajapojikuza katika maisha haya, na kusifiwa kwa sababu ya kufanikiwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa alipokuwa akiishi alijihesabu kuwa heri, na wanadamu wanakusifu unapofanikiwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ajapojibariki nafsi yake alipokuwa hai, Na watu watakusifu ukijitendea mema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ajapojikuza katika maisha haya, na kusifiwa kwa sababu ya kufanikiwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akingali yupo mzima hujituliza mwenyewe, wewe nawe watu watakusifu, ukivila vyako vyenye urembo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ajapojibariki nafsi yake alipokuwa hai, Na watu watakusifu ukijitendea mema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana atakapokufa hatachukua kitu chochote, mali yake haitashuka huko chini pamoja naye.