Psalms 49:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
atajiunga na wazee waliomtangulia kufa, ambao hawawezi kuona tena mwanga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
atajiunga na kizazi cha baba zake, ambao hawataona kamwe nuru ya uzima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakwenda kwenye kizazi cha baba zake Hawataona nuru hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
atajiunga na wazee waliomtangulia kufa, ambao hawawezi kuona tena mwanga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
atajiunga na kizazi cha baba zake, ambao hawataona kamwe nuru ya uzima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
atajiunga na kizazi cha baba zake, ambao hawataona kamwe nuru ya uzima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakwenda kwenye kizazi cha baba zake Hawataona nuru hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
atajiunga na wazee waliomtangulia kufa, ambao hawawezi kuona tena mwanga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo watu huenda kwenye kizazi cha baba zao, kusiko na mwanga kale na kale wa kuwamulikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakwenda kwenye kizazi cha baba zake Hawataona nuru hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata akijitukuza katika maisha haya, na kusifiwa kwa sababu ya kufanikiwa,