Psalms 49:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
sikilizeni nyote, wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini kwa pamoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini pamoja:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wakuu na watu wadogo wote pia, Tajiri na maskini wote pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
sikilizeni nyote, wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini kwa pamoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini pamoja:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini pamoja:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wakuu na watu wadogo wote pia, Tajiri na maskini wote pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
sikilizeni nyote, wakubwa kwa wadogo, matajiri na maskini kwa pamoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nyote mlio watuwatu tu, nanyi mlio mabwana! Ninyi mlio wenye mali nanyi maskini, yote pamoja!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wakuu na watu wadogo wote pia, Tajiri na maskini wote pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikie jambo hili, enyi watu wote! Mutege masikio, enyi wakaaji wote wa dunia.