Psalms 49:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binadamu hatadumu milele katika fahari yake, atakufa tu kama mnyama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanadamu wenye utajiri bila ufahamu ni kama wanyama wanaoangamia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu mwenye heshima, iwapo hana akili, Amefanana na wanyama wapoteao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binadamu hatadumu milele katika fahari yake, atakufa tu kama mnyama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu ni kama wanyama waangamiao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanadamu mwenye utajiri bila ufahamu ni kama wanyama waangamiao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu mwenye heshima, iwapo hana akili, Amefanana na wanyama wapoteao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binadamu hatadumu milele katika fahari yake, atakufa tu kama mnyama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akiwa na utukufu wake, asiutambue, atafananishwa na nyama wanaoishilizwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu mwenye heshima, iwapo hana akili, Amefanana na wanyama wapoteao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
atakwenda kukutana na babu zake waliomutangulia kufa, ambao hawawezi kuona tena mwangaza.