Psalms 49:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maneno yangu yatakuwa mazitomazito; mimi nitasema maneno ya hekima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kinywa changu kitasema maneno ya hekima, usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kinywa changu kitanena hekima, Na fikira za moyo wangu zitakuwa za busara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maneno yangu yatakuwa mazitomazito; mimi nitasema maneno ya hekima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kinywa changu kitasema maneno ya hekima, usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kinywa changu kitasema maneno ya hekima, usemi wa moyo wangu utatoa ufahamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kinywa changu kitanena hekima, Na fikira za moyo wangu zitakuwa za busara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maneno yangu yatakuwa mazitomazito; mimi nitasema maneno ya hekima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kinywa changu kitasema yenye werevu wa kweli, nayo mawazo ya moyo wangu ni ya utambuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kinywa changu kitanena hekima, Na fikira za moyo wangu zitakuwa za busara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize wote, wakubwa na wadogo, enyi watajiri na wakosefu.