Psalms 49:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitatega sikio nisikilize methali, nitafafanua kitendawili kwa muziki wa zeze.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitatega sikio langu nisikilize mithali, nitafafanua kitendawili kwa zeze:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitatega sikio langu nisikie mithali, Na kufumbua fumbo langu kwa kinubi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitatega sikio nisikilize methali, nitafafanua kitendawili kwa muziki wa zeze.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitatega sikio langu nisikilize mithali, nitafafanua kitendawili kwa zeze:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitatega sikio langu nisikilize mithali, nitafafanua kitendawili kwa zeze:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitatega sikio langu nisikie mithali, Na kufumbua fumbo langu kwa kinubi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitatega sikio nisikilize methali, nitafafanua kitendawili kwa muziki wa zeze.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitaliinamisha sikio langu, lisikie mfano, nitalifumbua fumbo langu na kupiga zeze.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitatega sikio langu nisikie mithali, Na kufumbua fumbo langu kwa kinubi
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno yangu ni mazitomazito; mawazo yangu ni ya hekima.