Psalms 49:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ya nini niogope siku mbaya, wakati nizungukwapo na uovu wa adui?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja, wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa nini niogope siku za uovu, Ubaya ukinizunguka miguuni pangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ya nini niogope siku mbaya, wakati nizungukwapo na uovu wa adui?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja, wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa nini niogope siku mbaya zinapokuja, wakati wadanganyifu waovu wanaponizunguka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa nini niogope wakati wa shida, Ubaya ukinizunguka miguuni pangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ya nini niogope siku mbaya, wakati nizungukwapo na uovu wa adui?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zikiwa mbaya, niogopeje, watakao kunikorofisha kinyumanyuma wakinizinga?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa nini niogope siku za uovu, Ubaya ukinizunguka miguuni pangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninatega sikio, nisikilize mezali, ninafafanua kitendawili kwa muziki wa zeze.