Psalms 49:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu waovu hutegemea mali zao, hujisifia wingi wa utajiri wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wale wanaotegemea mali yao na kujivunia utajiri wao mwingi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wa hao wanaozitumainia mali zao, Na kujisifia wingi wa utajiri wao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu waovu hutegemea mali zao, hujisifia wingi wa utajiri wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wale wanaotegemea mali zao na kujivunia utajiri wao mwingi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wale wanaotegemea mali zao na kujivunia utajiri wao mwingi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ambao wanazitumainia mali zao, Na kujisifia wingi wa utajiri wao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu waovu hutegemea mali zao, hujisifia wingi wa utajiri wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wanauegemea uwezo wao na kujivunia mali zao zilizo nyingi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wa hao wanaozitumainia mali zao, Na kujisifia wingi wa utajiri wao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini niogope wakati wa hatari, wakati ninapozungukwa na uovu wa waadui?