Psalms 49:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini binadamu hawezi kamwe kujikomboa mwenyewe; hawezi kumlipa Mungu bei ya maisha yake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna mwanadamu yeyote awezaye kuukomboa uhai wa mwingine, au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hakuna mtu awezaye kumkomboa ndugu yake, Wala kumpa Mungu fidia kwa ajili yake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini binadamu hawezi kamwe kujikomboa mwenyewe; hawezi kumlipa Mungu bei ya maisha yake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna mwanadamu awaye yote awezaye kuukomboa uhai wa mwingine, au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna mwanadamu awaye yote awezaye kuukomboa uhai wa mwingine, au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hakuna mtu awezaye kumkomboa ndugu yake, Wala kumlipa Mungu fidia kwa ajili ya maisha yake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini binadamu hawezi kamwe kujikomboa mwenyewe; hawezi kumlipa Mungu bei ya maisha yake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna awezaye kumkomboa ndugu yake, hawezi kumpa Mungu mali za ukombozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hakuna mtu awezaye kumkomboa ndugu yake, Wala kumpa Mungu fidia kwa ajili yake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waovu wanategemea mali zao, wanajisifia wingi wa utajiri wao.