Psalms 49:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana fidia ya maisha ni kubwa mno. Hawezi kutoa kitu chochote kinachotosha,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fidia ya uhai ni gharama kubwa, hakuna malipo yoyote yanayotosha,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
(Maana fidia ya nafsi zao ina gharama, Wala hana budi kuiacha hata milele;)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana fidia ya maisha ni kubwa mno. Hawezi kutoa kitu chochote kinachotosha,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fidia ya uhai ni gharama kubwa, hakuna malipo yo yote yanayotosha,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fidia ya uhai ni gharama kubwa, hakuna malipo yoyote yanayotosha,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
(Maana fidia ya nafsi zao ina gharama, Wala hawezi kuitoa hata milele;)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana fidia ya maisha ni kubwa mno. Hawezi kutoa kitu chochote kinachotosha,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mali za kukomboa roho ya mtu hazilipiki, zinashindakale na kale, hazipatikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
(Maana fidia ya nafsi zao ina gharama, Wala hana budi kuiacha hata milele;)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mwanadamu hawezi hata kidogo kujikomboa mwenyewe; hawezi kumulipa Mungu bei ya maisha yake,