Psalms 49:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kimwezeshe aendelee kuishi daima, asipate kuonja kaburi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili aishi milele na asione uharibifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili aishi sikuzote asilione kaburi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kimwezeshe aendelee kuishi daima, asipate kuonja kaburi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kwamba aishi milele na asione uharibifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kwamba aishi milele na asione uharibifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ndipo aishi milele asilione kaburi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kimwezeshe aendelee kuishi daima, asipate kuonja kaburi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ijapo mtu akae sanasana, asilione kaburi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili aishi sikuzote asilione kaburi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana malipo ya ukombozi wa maisha ni kubwa sana. Hawezi kutoa kitu chochote kinachotosha,