Psalms 5:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Na filimbi. Zaburi ya Daudi) Usikilize maneno yangu, ee Mwenyezi-Mungu, usikie ninavyopiga kite.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, tegea sikio maneno yangu, uangalie kupiga kite kwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uyasikilize maneno yangu, Ukuangalie kutafakari kwangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikilize maneno yangu, ee Mwenyezi-Mungu, usikie ninavyopiga kite.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Kwa Filimbi. Zaburi Ya Daudi) Ee BWANA, tegea sikio maneno yangu, uangalie kupiga kite kwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, tegea sikio maneno yangu, uangalie kupiga kite kwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uyasikilize maneno yangu, Ukuangalie kutafakari kwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikilize maneno yangu, ee Mwenyezi-Mungu, usikie ninavyopiga kite.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, yasikilize maneno yangu! Yatambue nayo manong'ono yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uyasikilize maneno yangu, Ukuangalie kutafakari kwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Kwa filimbi. Zaburi ya Daudi.