Psalms 5:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uwaadhibu kwa hatia yao ee Mungu; waanguke kwa njama zao wenyewe; wafukuze nje kwa sababu ya dhambi zao nyingi, kwa sababu wamekuasi wewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uwatangaze kuwa wenye hatia, Ee Mungu! Hila zao ziwe anguko lao wenyewe. Wafukuzie mbali kwa sababu ya dhambi zao nyingi, kwa kuwa wamekuasi wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe, Mungu, uwapatilize, Na waanguke kwa mashauri yao. Uwatoe nje kwa ajili ya wingi wa makosa yao, Kwa maana wamekuasi Wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uwaadhibu kwa hatia yao ee Mungu; waanguke kwa njama zao wenyewe; wafukuze nje kwa sababu ya dhambi zao nyingi, kwa sababu wamekuasi wewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uwatangaze kwamba wana hatia, Ee Mungu! Hila zao ziwe anguko lao wenyewe. Wafukuzie mbali kwa sababu ya dhambi zao nyingi, kwa kuwa wamekuasi wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uwatangaze kuwa wenye hatia, Ee Mungu! Hila zao ziwe anguko lao wenyewe. Wafukuzie mbali kwa sababu ya dhambi zao nyingi, kwa kuwa wamekuasi wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe, Mungu, uwapatilize, Na waanguke kwa mashauri yao. Uwatoe nje kwa ajili ya wingi wa makosa yao, Kwa maana wamekuasi Wewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uwaadhibu kwa hatia yao ee Mungu; waanguke kwa njama zao wenyewe; wafukuze nje kwa sababu ya dhambi zao nyingi, kwa sababu wamekuasi wewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wapatilize, Mungu, waangushwe na mashauri yao, wakumbe kwa ajili ya maovu yao mengi! Kwani wamekubisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe, Mungu, uwapatilize, Na waanguke kwa mashauri yao. Uwatoe nje kwa ajili ya wingi wa makosa yao, Kwa maana wamekuasi Wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndani ya vinywa vyao hamuna ukweli wowote; mioyo yao imejaa maangamizi, koo zao ni kama kaburi wazi, ndimi zao zimejaa udanganyifu.