Psalms 5:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wewe Mwenyezi-Mungu wawabariki waadilifu; wawakinga kwa fadhili zako kama kwa ngao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hakika, Ee Mwenyezi Mungu, unawabariki wenye haki, unawazunguka kwa wema wako kama ngao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana Wewe utambariki mwenye haki; Bwana, utamzungushia radhi kama ngao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wewe Mwenyezi-Mungu wawabariki waadilifu; wawakinga kwa fadhili zako kama kwa ngao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hakika, Ee BWANA, unawabariki wenye haki, unawazunguka kwa wema wako kama ngao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hakika, Ee bwana, unawabariki wenye haki, unawazunguka kwa wema wako kama ngao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana Wewe utambariki mwenye haki; BWANA, utamzungushia radhi kama ngao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wewe Mwenyezi-Mungu wawabariki waadilifu; wawakinga kwa fadhili zako kama kwa ngao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe, Bwana, unambariki aliye mwongofu, ukamvika upendelevu, kama ni ngao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana Wewe utambariki mwenye haki; BWANA, utamzungushia radhi kama ngao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wanaokimbilia kwako wafurahi wote, waimbe kwa shangwe siku zote. Uwalinde wanaolipenda jina lako, kusudi wapate kushangilia kwa sababu yako.