Psalms 5:13 — Compare Translations

1 translations compared side by side

Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana wewe Yawe unawabariki watu wa haki; unawakinga kwa upendo wako kama kwa ngao.