Psalms 5:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee Mwenyezi Mungu; asubuhi naleta haja zangu mbele zako, na kusubiri kwa matumaini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, asubuhi utaisikia sauti yangu, Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee BWANA; asubuhi naleta haja zangu mbele zako, na kusubiri kwa matumaini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee bwana; asubuhi naleta haja zangu mbele zako, na kusubiri kwa matumaini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, asubuhi utaisikia sauti yangu, Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, alfajiri waisikia sauti yangu, asubuhi nakutolea tambiko yangu, kisha nangojea unijibu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, asubuhi uisikie sauti yangu! Asubuhi ninajiweka kuwa tayari, nikuchungulie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, asubuhi utaisikia sauti yangu, Asubuhi nitakupangia dua yangu na kutazamia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikilize kilio changu, Mufalme wangu na Mungu wangu, maana wewe ndiwe ninayekuomba.