Psalms 5:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe si Mungu apendaye ubaya; kwako uovu hauwezi kuwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe si Mungu unayefurahia uovu, kwako mtu mwovu hataishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana huwi Mungu apendezwaye na ubaya; Mtu mwovu hatakaa kwako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe si Mungu apendaye ubaya; kwako uovu hauwezi kuwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe si Mungu unayefurahia uovu, kwako mtu mwovu hataishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe si Mungu unayefurahia uovu, kwako mtu mwovu hataishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana huwi Mungu apendezwaye na ubaya; Mtu mwovu hatakaa kwako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe si Mungu apendaye ubaya; kwako uovu hauwezi kuwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wewe siwe Mungu apendezwaye naye asiyekucha, wala mtu mbaya hakai huko, uliko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana huwi Mungu apendezwaye na ubaya; Mtu mwovu hatakaa kwako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, kwa mapambazuko unasikia sauti yangu, asubui ninakutolea sadaka yangu, kisha ninangojea unijibu.