Psalms 5:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wawaangamiza wote wasemao uongo; wawachukia wauaji na wadanganyifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unawaangamiza wasemao uongo. Mwenyezi Mungu huwachukia wanaomwaga damu na wadanganyifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utawaharibu wasemao uongo; Bwana humzira mwuaji na mwenye hila
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wawaangamiza wote wasemao uongo; wawachukia wauaji na wadanganyifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unawaangamiza wasemao uongo, wamwagao damu na wadanganyifu BWANA huwachukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unawaangamiza wasemao uongo. bwana huwachukia wamwagao damu na wadanganyifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utawaharibu wasemao uongo; BWANA humchukia mwuaji na mwenye hila
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wawaangamiza wote wasemao uongo; wawachukia wauaji na wadanganyifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utawaangamiza kabisa wao wasemao uwongo, wenye kiu ya damu na wadanganyaji humtapisha Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utawaharibu wasemao uongo; BWANA humzira mwuaji na mwenye hila
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe haupendi kuwaona wenye majivuno; wewe unawachukia wote wanaotenda maovu.