Psalms 5:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, kwa wingi wa fadhili zako, mimi nitaingia nyumbani mwako; nitakuabudu kuelekea hekalu lako takatifu, nitakusujudia kwa uchaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi, kwa rehema zako kuu, nitakuja katika nyumba yako, kwa unyenyekevu, nitasujudu kulielekea Hekalu lako takatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako, Nitaingia nyumbani mwako; Na kusujudu kwa kicho, Nikilielekea hekalu lako takatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, kwa wingi wa fadhili zako, mimi nitaingia nyumbani mwako; nitakuabudu kuelekea hekalu lako takatifu, nitakusujudia kwa uchaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mimi, kwa rehema zako kuu, nitakuja katika nyumba yako, kwa unyenyekevu, nitasujudu kuelekea Hekalu lako takatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mimi, kwa rehema zako kuu, nitakuja katika nyumba yako, kwa unyenyekevu, nitasujudu kuelekea Hekalu lako takatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako, Nitaingia nyumbani mwako; Na kusujudu kwa kicho, Nikilielekea hekalu lako takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, kwa wingi wa fadhili zako, mimi nitaingia nyumbani mwako; nitakuabudu kuelekea hekalu lako takatifu, nitakusujudia kwa uchaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi kwa wingi wa upole wako nitaingia Nyumbani mwako, nikuangukie Patakatifu pako pa kuombea, kwa maana ninakuogopa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali mimi, kwa wingi wa fadhili zako, Nitaingia nyumbani mwako; Na kusujudu kwa kicho, Nikilielekea hekalu lako takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unawaangamiza wote wanaosema uongo; unawachukia wauaji na wadanganyifu.