Psalms 5:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniongoze, ee Mwenyezi-Mungu, katika uadilifu wako, maana maadui zangu ni wengi; uiweke njia yako wazi mbele yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niongoze katika haki yako, Ee Mwenyezi Mungu, kwa sababu ya adui zangu, nyoosha njia yako mbele yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, uniongoze kwa haki yako, Kwa sababu yao wanaoniotea. Uisawazishe njia yako mbele ya uso wangu,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniongoze, ee Mwenyezi-Mungu, katika uadilifu wako, maana maadui zangu ni wengi; uiweke njia yako wazi mbele yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niongoze katika haki yako, Ee BWANA, kwa sababu ya adui zangu, nyosha njia yako mbele yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niongoze katika haki yako, Ee bwana, kwa sababu ya adui zangu, nyoosha njia yako mbele yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, uniongoze kwa haki yako, Kwa sababu yao wanaoniotea. Uinyoshe njia yako mbele ya uso wangu,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniongoze, ee Mwenyezi-Mungu, katika uadilifu wako, maana maadui zangu ni wengi; uiweke njia yako wazi mbele yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, niongoze, niufuate wongofu wako, kwa ajili yao waninyatiao, ukainyoshe njia yako machoni pangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, uniongoze kwa haki yako, Kwa sababu yao wanaoniotea. Uisawazishe njia yako mbele ya uso wangu,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, kwa wingi wa wema wako, mimi nitaingia ndani ya nyumba yako; nitainama kwa heshima kuelekea hekalu lako takatifu.