Psalms 5:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Vinywani mwao hamna ukweli; mioyoni mwao wamejaa maangamizi, wasemacho ni udanganyifu wa kifo, ndimi zao zimejaa hila.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna neno kinywani mwao linaloweza kuaminika, mioyo yao imejaa maangamizi. Koo lao ni kaburi lililo wazi, kwa ndimi zao, wao hunena udanganyifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana vinywani mwao hamna uaminifu; Mtima wao ni shimo tupu, koo lao ni kaburi wazi, Ulimi wao hujipendekeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Vinywani mwao hamna ukweli; mioyoni mwao wamejaa maangamizi, wasemacho ni udanganyifu wa kifo, ndimi zao zimejaa hila.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna neno kinywani mwao linaloweza kuaminika, mioyo yao imejaa maangamizi. Koo zao ni kaburi lililo wazi, kwa ndimi zao hunena udanganyifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna neno kinywani mwao linaloweza kuaminika, mioyo yao imejaa maangamizi. Koo lao ni kaburi lililo wazi, kwa ndimi zao, wao hunena udanganyifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana vinywani mwao hamna uaminifu; Moyo wao ni shimo tupu, koo lao ni kaburi wazi, Ulimi wao hujipendekeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Vinywani mwao hamna ukweli; mioyoni mwao wamejaa maangamizi, wasemacho ni udanganyifu wa kifo, ndimi zao zimejaa hila.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani vinywani mwao hao hamna yaliyo sawa, mioyoni mwao hukaa tamaa mbaya tu, makoo yao huwa makaburi yaliyo wazi, ndimi zao nazo huteleza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana vinywani mwao hamna uaminifu; Mtima wao ni shimo tupu, koo lao ni kaburi wazi, Ulimi wao hujipendekeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, katika haki yako, uisawanishe njia yako mbele yangu. Uniongoze kwa sababu ya waadui zangu.