Psalms 50:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Asafu) Mungu wa nguvu Mwenyezi-Mungu, amenena, amewaita wakazi wa dunia, tokea mawio ya jua hadi machweo yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenye Nguvu, Mungu, Mwenyezi Mungu, asema na kuiita dunia, tangu mawio ya jua hadi mahali pake liendapo kutua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu, Mungu Bwana, amenena, ameiita nchi, Toka maawio ya jua hata machweo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu wa nguvu Mwenyezi-Mungu, amenena, amewaita wakazi wa dunia, tokea mawio ya jua hadi machweo yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Asafu) Mwenye Nguvu, Mungu, BWANA, asema na kuiita dunia, tangu maawio ya jua hadi mahali pake liendapo kutua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenye Nguvu, Mungu, bwana, asema na kuiita dunia, tangu mawio ya jua hadi mahali pake liendapo kutua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu, Mungu BWANA, amenena, ameiita nchi, Toka mawio ya jua hadi machweo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu wa nguvu Mwenyezi-Mungu, amenena, amewaita wakazi wa dunia, tokea mawio ya jua hadi machweo yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu aliye Mungu kweli alisema, akaziita nchi, akianzia maawioni kwa jua, afike nako machweoni kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu, Mungu BWANA, amenena, ameiita nchi, Toka maawio ya jua hata machweo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Asafu. Mungu, Mungu Yawe, amesema, amewaita wakaaji wa dunia, tokea magaribi mpaka mashariki.