Psalms 50:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana wanyama wote porini ni mali yangu, na maelfu ya wanyama milimani ni wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kila hayawani ni wangu, Na makundi juu ya milima elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana wanyama wote porini ni mali yangu, na maelfu ya wanyama milimani ni wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, nayo makundi ya mifugo juu ya vilima elfu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kila mnyama wa msituni ni wangu, na pia makundi ya mifugo juu ya vilima elfu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kila mnyama-pori ni wangu, Na mifugo juu angani maelfu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana wanyama wote porini ni mali yangu, na maelfu ya wanyama milimani ni wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nyama wote wa porini ni wangu, nao wakaao milimani, ni maelfu na maelfu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kila hayawani ni wangu, Na makundi juu ya milima elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana nyama wote wa pori ni mali yangu, na maelfu ya nyama wa milima ni wangu.