Psalms 50:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndege wote wa mwitu ni mali yangu, na viumbe vyote hai mashambani ni vyangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninamjua kila ndege mlimani, nao viumbe wa kondeni ni wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawajua ndege wote wa milima, Na wanyama wote wa mashamba ni wangu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndege wote wa mwitu ni mali yangu, na viumbe vyote hai mashambani ni vyangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninamjua kila ndege mlimani, nao viumbe wa kondeni ni wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninamjua kila ndege mlimani, nao viumbe wa kondeni ni wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawajua ndege wote wa milima, Na wanyama wote wa mashamba ni wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndege wote wa mwitu ni mali yangu, na viumbe vyote hai mashambani ni vyangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninawajua ndege wote walioko vilimani, hata nyama walioko mashambani ni mali zangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawajua ndege wote wa milima, Na wanyama wote wa mashamba ni wangu
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndege wote wa mwitu ni mali yangu, na viumbe vyote vinavyoishi katika pori ni vyangu.