Psalms 50:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama ningeona njaa singekuambia wewe, maana ulimwengu na vyote vilivyomo ni vyangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi, kwa maana ulimwengu ni wangu, na vyote vilivyomo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama ningekuwa na njaa singekuambia, Maana ulimwengu ni wangu, navyo viujazavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama ningeona njaa singekuambia wewe, maana ulimwengu na vyote vilivyomo ni vyangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ningekuwa na njaa nisingewaambia ninyi, kwa maana ulimwengu ni wangu, pamoja na vyote vilivyomo ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ningekuwa na njaa, nisingewaambia ninyi, kwa maana ulimwengu ni wangu, pamoja na vyote vilivyomo ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama ningekuwa na njaa singekuambia, Maana ulimwengu ni wangu, na vyote vilivyomo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama ningeona njaa singekuambia wewe, maana ulimwengu na vyote vilivyomo ni vyangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ningekuwa na njaa, nisingesema na wewe, kwani nchi zote navyo vyote vilivyomo ni vyangu mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama ningekuwa na njaa singekuambia, Maana ulimwengu ni wangu, navyo viujazavyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama ningesikia njaa, singekuambia wewe, maana ulimwengu na vyote vinavyokuwa ndani yake ni vyangu.