Psalms 50:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, wadhani nala nyama ya fahali, au Kunywa damu ya mbuzi?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, mimi hula nyama ya mafahali au kunywa damu ya mbuzi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Nile nyama ya mafahali! Au ninywe damu ya mbuzi!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, wadhani nala nyama ya fahali, au: kunywa damu ya mbuzi?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, mimi hula nyama ya mafahali au kunywa damu ya mbuzi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, mimi hula nyama ya mafahali au kunywa damu ya mbuzi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Nile nyama ya mafahali! Au ninywe damu ya mbuzi!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, wadhani nala nyama ya fahali, au Kunywa damu ya mbuzi?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nile nyama za ng'ombe? Au ninywe damu za mbuzi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Nile nyama ya mafahali! Au ninywe damu ya mbuzi!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unazani ninakula nyama ya ngombe dume, au kunywa damu ya mbuzi?