Psalms 50:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mungu amwambia mtu mwovu: “Ya nini kuzitajataja tu sheria zangu? Kwa nini unasemasema juu ya agano langu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema: “Una haki gani kunena sheria zangu au kuchukua agano langu mdomoni mwako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali mtu asiye haki, Mungu amwambia, Una nini wewe kuitangaza sheria yangu, Na kuliweka agano langu kinywani mwako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mungu amwambia mtu mwovu: “Ya nini kuzitajataja tu sheria zangu? Kwa nini unasemasema juu ya agano langu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema: “Una haki gani kunena sheria zangu au kuchukua Agano langu midomoni mwako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema: “Una haki gani kunena sheria zangu au kuchukua agano langu midomoni mwako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali mtu asiye haki, Mungu amwambia, Una nini wewe kuitangaza sheria yangu, Na kuliweka agano langu kinywani mwako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mungu amwambia mtu mwovu: “Ya nini kuzitajataja tu sheria zangu? Kwa nini unasemasema juu ya agano langu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini asiyemcha Mungu humwambia: Sababu gani unayasimulia maagizo yangu? Nacho kinywa chako kinayasemaje maneno ya Agano langu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali mtu asiye haki, Mungu amwambia, Una nini wewe kuitangaza sheria yangu, Na kuliweka agano langu kinywani mwako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Mungu anamwambia mutu mwovu: “Kwa nini kutajataja tu masharti yangu? Kwa nini unasemasema juu ya agano langu?