Psalms 50:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe wachukia kuwa na nidhamu, na maneno yangu hupendi kuyafuata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unachukia mafundisho yangu na kuyatupilia mbali maneno yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana wewe umechukia maonyo, Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe wachukia kuwa na nidhamu, na maneno yangu hupendi kuyafuata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unachukia mafundisho yangu na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unachukia mafundisho yangu na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana wewe umechukia maonyo, Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe wachukia kuwa na nidhamu, na maneno yangu hupendi kuyafuata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe unachukizwa unapoonywa, nayo maneno yangu unayatupia nyuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana wewe umechukia maonyo, Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unachukia maonyo, na maneno yangu haupendi kuyafuata.