Psalms 50:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukimwona mwizi unaandamana naye, na wazinzi unashirikiana nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unapomwona mwizi, unaungana naye, unapiga kura yako pamoja na wazinzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulipomwona mwivi ulikuwa radhi naye, Ukashirikiana na wazinzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukimwona mwizi unaandamana naye, na wazinzi unashirikiana nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unapomwona mwizi, unaungana naye, unapiga kura yako pamoja na wazinzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unapomwona mwizi, unaungana naye, unapiga kura yako pamoja na wazinzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulipomwona mwizi ulikuwa radhi naye, Ukashirikiana na wazinzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukimwona mwizi unaandamana naye, na wazinzi unashirikiana nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukiona mwizi, ni rafiki yako, tena hufanya bia nao walio wazinzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulipomwona mwivi ulikuwa radhi naye, Ukashirikiana na wazinzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukimwona mwizi, unajiunga naye, nawe unashirikiana na washerati.