Psalms 50:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uko tayari daima kunena mabaya; kazi ya ulimi wako ni kutunga uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unakitumia kinywa chako kunena maovu, na kuuongoza ulimi wako kwa hila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umekiachia kinywa chako kinene mabaya, Na ulimi wako watunga hila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uko tayari daima kunena mabaya; kazi ya ulimi wako ni kutunga uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unakitumia kinywa chako kwa mabaya na kuuongoza ulimi wako kwa hila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unakitumia kinywa chako kwa mabaya na kuuongoza ulimi wako kwa hila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umekiachia kinywa chako kinene mabaya, Na ulimi wako unatunga uongo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uko tayari daima kunena mabaya; kazi ya ulimi wako ni kutunga uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kinywa chako unakisemesha yaliyo mabaya, ulimi wako hutunga madanganyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umekiachia kinywa chako kinene mabaya, Na ulimi wako watunga hila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uko tayari siku zote kusema mabaya; kazi ya ulimi wako ni kutunga uongo.